habari Mpya


Brazil kutoana Jasho na Mexico 16 Bora Kombe la Dunia 2018.

Timu ya Taifa Brazil imeenda Hatua ya 16 ya mtoano katika Kombe la Dunia 2018 baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Serbia ukiwa ni mchezo wa Kundi E.

 Brazil imevuka katika hatua ya makundi na kwenda mtoano kwa magali ya Paulinho dk 36 na Thiago Silva dk 68.

 
Brazil itakutana na wapinzani wao Mexico huku walioshika nafasi ya pili katika kundi lao, Switzerland waliotoka sare 2-2 na Costa Rica wakikutana na Sweden.

Mechi za leo June 28, 2018

KUNDI G

England v Belgium 

Panama v Tunisia

KUNDI H

Japan v Poland

Senegal v Colombia

 

Post a Comment

0 Comments