habari Mpya


Waamini wakitembeza Msalaba Kuadhimisha miaka 150 ya Ukristo Tanzania.

Waamini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Nyakanazi wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakitembeza msalaba hii leo May 11, 2018 wakiutoa Parokia ya Nyamigere wilayani Biharamulo wakiadhimisha miaka 150 ya Ukristo Tanzania.

Picha Na Saaban Ndyamukama.

Waamini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Nyakanazi wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakitembeza msalaba hii leo May 11, 2018 wakiutoa parokia ya nyamigere wilayani Biharamulo wakiadhimisha miaka 150 ya Ukristo Tanzania.

Post a Comment

0 Comments