habari Mpya


Bi.Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga,Ngara Anahitaji Msaada wa Kibinadamu.

Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkoani Kagera  ana umri wa miaka 100 anaishi maisha magumu ya kukosa Msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu.

Kwa yoyote atakayeguswa Kumsaidia atume msaada wake kupitia Sr Oliva Niyonzima,Radio Kwizera Ngara,Kagera au Simu namba +255766381705 .

Nyumba anayoishi Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkoani Kagera  ana umri wa miaka 100 anaishi maisha magumu ya kukosa Msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu.

Post a Comment

0 Comments