habari Mpya

Wanawake wa Radio Kwizera -‘’ Muhimu Kutambua Mchango wa Wanawake katika Jamii’’

March 8, 2018 ni maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambapo Jana March 8, 2018  Wanawake wa Kituo cha Radio Kwizera FM cha mjini Ngara mkoani Kagera katika maadhimisho hayo waliwatembelea Wanawake wenzao wa Kituo Village Angels of Tanzania kilichopo Kata ya Kasulo wilayani humo kinachowahudumiwa Wazee na kuwapa Msaada wa Vitu mbalimbali kwa lengo la kukidhi mahitaji yao muhimu,kuwafariji na kutambua mchango wao katika Jamii.

Mratibu wa Ziara hiyo ,Maria Philbert akimkabidhi moja ya msaada huo Mkurugenzi wa Kituo Village Angels of Tanzania kilichopo Kata ya Kasulo wilayani Ngara mkoani Kagera Sir.Dativa Daniel  ambapo Wanawake wa Radio Kwizera FM walitoa Msaada wa Vitu mbalimbali kwa lengo kukidhi mahitaji yao muhimu,kuwafariji na kutambua mchango wao katika Jamii.
Pichani juu na chini ni Wanawake wa  Kituo Village Angels of Tanzania kilichopo Kata ya Kasulo wilayani humo kinachowahudumiwa Wazee na Hapa wanaonekana wakitabasamu baada ya kutembelewa na Radio Kwizera FM ya Ngara.

March 8, 2018 ni maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambapo Jana March 8, 2018  Wanawake wa Kituo cha Radio Kwizera FM cha mjini Ngara mkoani Kagera katika maadhimisho hayo waliwatembelea Wanawake wenzao wa Kituo Village Angels of Tanzania kilichopo Kata ya Kasulo wilayani humo kinachowahudumiwa Wazee na kuwapa Msaada wa Vitu mbalimbali kwa lengo la kukidhi mahitaji yao muhimu,kuwafariji na kutambua mchango wao katika Jamii.

Post a Comment

0 Comments