habari Mpya


Umeme Umefika Mpaka katika Nyumba Hii.

Waziri wa Nishati Dk. MERDAD KALEMANI akimpongeza MWANAIDI MBAROUK mkazi wa kijiji cha Mbuluni kilichopo eneo la Zingibari kata ya Moa wilayani Mkinga mkoani Tanga ambaye ameweka umeme katika nyumba yake kama inavyoonekana pichani.

 Waziri KALEMANI yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
 

Post a Comment

0 Comments