habari Mpya


Taswira Picha ya Vizimba vya Taka wilayani Ngara Mkoani Kagera.


Muonekano  kizimba kilicho jaa bila kufanyiwa usafi….Habari/Picha na Shaabani Ndyamkama.

Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera bado inakabiliwa na changamoto ya uzoaji taka katika vizimba ambapo taka zimetapakaa hadi bara barani jeserikali ya halmashauri hailioni hili.

Mkazi mmoja akienda kumwaga taka alizozizalisha Nyumbani kwake.


Pichani Wananchi wakitoka kumwa taka katika kizimba hiki kilicho karibu na makazi yao.


Maji machafu yaliyotuwama barabarani katika eneo moja hapa wilayani Ngara mkoani Kagera sehemu ambayo ni muhimu sana kwani ni eneo ambalo hutumiwa na wajasiriamali wadogo wadogo kuuza ndizi na matunda.

Afisa Afya na Afisa Mazingira mnaliona na  hili? nimepita tu kuwaonyesha.

Post a Comment

0 Comments