habari Mpya


Ratiba ya Makundi Ligi Ya Mabingwa CAF na Kombe la Shirikisho.

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) March 21,2018 Limechezesha droo ya makundi ya timu zilizofuzu kucheza Ligi ya Mabingwa makao makuu  kwenye Hoteli ya Ritz Carlton, jijini Cairo, Misri.

Na haya ndio Makundi ikiwemo  kundi B la timu anayocheza mshambuliaji Mtanzania anayecheza soka la kulipwa Klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva pamoja na timu za TP Mazembe, E.S. Setifienne, na Mouloudia Club.
Shirikisho la soka barani Afrika CAF Jumatano ya March 21, 2018 limechezesha droo ya kupanga mechi za mtoano za Kombe la shirikisho barani Afrika kabla ya kuingia hatua ya Makundi.

Mabingwa wa Tanzania Yanga SC ambao wametolewa katika club Bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana baada ya droo kuchezeshwa nchini Misri jijini Cairo, wamepangwa kucheza dhidi ya Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia.

RATIBA YOTE TAZAMA HAPA CHINI.

Post a Comment

0 Comments