habari Mpya


Taswira Picha Bomoa Bomoa Wilaya ya Kasulu-Kigoma.


1
Ubomoaji huo unafanyika kisheria na unahusisha nyumba na vibanda vya kibiashara vilivyo karibu na hifadhi ya barabara ya Kasulu –Kibondo na Kasulu – Kigoma ili kupisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha Lami.
3

2
Ubomoaji huo unafanya na baada ya Notisi ya siku 30 kutolewa na Halmashauri ya Mji wa Kasulu ambapo zoezi hilo limeripotiwa kuendelea vyema licha ya Malalamiko ya baadhi ya Wananchi kupinga ubomoaji huo na wengine wakipongeza hatua hiyo na kuitaka Mamlaka husika kulifanya zoezi hilo kwa kuzingatia HAKI ,WASIMUONEE MTU MNYONGE NA WASIKWEPESHE VIPIMO KWA KUPOKEA RUSHWA.
4

5

6

Post a Comment

0 Comments