habari Mpya


Sare zatawala VPL,Kesho ni Simba SC na Mbeya City.

3
Kwa mara ya kwanza wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani Namfua Stadium,mjini Singida,Timu ya  Singida United imewabana mbavu Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 Yanga SC na kuambulia sare tasa (0-0).

4
Kwa matokeo hayo sasa Yanga SC wanakuwa wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu kwa kuwa na jumla ya point 17 sawa na Mtibwa Sugar ikiwa na Alama 17 pia wakipishana kwa tofauti ya magoli, kesho Jumapili November 5,2017 ni zamu ya wekundu wa Msimbazi Simba SC kucheza dhidi ya Mbeya City katika uwanja wa Sokoine.
1
Kikosi cha Singida United.
Sare hiyo inaifanya Singida United kufikisha pointi 14 baada ya mechi tisa pia.

23335925_1652998908073346_621661949_o
Matokeo ya Michezo mingine ya Leo ni kama ifatavyo,Hapo Juu.
2
Kikosi cha Yanga SC.

Post a Comment

0 Comments