habari Mpya


Taswira Picha - Bus la Adventure Kigoma -Mwanza lagongana USO kwa USO na Lori eneo la Busunzu.

Basi la Kampuni ya Adventure leo July 2, 2017 kutoka Kigoma kwenda Mwanza limepata ajali likiwa njiani kuelekea Mwanza eneo la Busunzu  baada ya kugongana USO kwa USO na Lori aina ya Fuso.

 Ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi na taarifa zinasema kuwa hakuna vifo zaidi ya majeruhi kwa baadhi ya abiria.


HAPA CHINI TAZAMA PICHA ZAIDI ZA AJALI HIYO NIMEKUWEKEA.


Post a Comment

0 Comments