habari Mpya


Taswira Picha Lori laanguka likikwepa Ng’ombe-Eneo la Nyabugombe- Biharamulo.

Ajali ya Lori hili, Mali ya Kalenzo Kabugoye mkazi wa Kabanga wilayani Ngara lililokuwa na Saruji likitokea mkoani Tanga kwenda Ngara likiwa limeharibika vibaya baada ya Dereva kutaka kukwepa ng'ombe na gari kupinduka hapo June 14,2017 katikati ya mpaka wa wilaya ya Ngara na Biharamulo ambapo Dereva wa gari hilo alijeruhiwa na amelazwa Hospitali ya Nyamiaga.
Wananchi wa kitongoji cha kapfuha kijiji cha Rwakalemela wilayani Ngara na kijiji cha Nyabugombe wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.
PICHA NA –SHABAN NDYAMUKAMA.

Post a Comment

0 Comments