habari Mpya


Mto Ruvuvu uliopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera.


Muonekano wa Mto Ruvubu kupitia njia/barabara ya Ngara-Rulenge mkoani Kagera ambao unaenda mpaka Rusumo kutengeneza maporomoko ya rusumo yaliyopo kwenye Daraja la Kimataifa linalounganisha Tanzania na Rwanda.Post a Comment

0 Comments