habari Mpya


Hotuba ya Rais Dkt. Magufuli Baada ya Kupokea Taarifa ya Uchunguzi wa Mchanga wa Dhahabu.

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli  hapo Jana Jumatano, Mei 24, 2017 wakati wa kupokea Ripoti ya Kamati Maalum ya Utafiti wa Mchanga (Makanika) uliomo kwenye makontena yaliyozuiliwa kwenye bandari tofauti hapa nchini, pamoja na hatua nyingine, ametengua Uteuzi wa  Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kufuatia kushindwa kusimamia suala la mchanga wa madini unaosafirishwa kwenye makontena.

Hapa chini Bofya Kuisikiliza Hatuba yake baada ya taarifa ya uchunguzi wa mchanga wa madini mbalimbali uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini nchini.

Post a Comment

0 Comments