habari Mpya


VIFO VYAONGEZEKA, AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU WILAYANI NGARA

Majeruhi wa Ajali iliyohusisha magari matatu katika kijiji cha Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera imeongezeka na kufikia watu watano.Alipotafutwa na Redio Kwizera kufahamu maendeleo ya majeruhi waliolazwa, mganga mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Dr. Revocatus Ndyekobora amesema waliofariki ni mtoto wa kiume aliyekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Murgwanza pamoja na mwanamke aliyekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Nyamiaga.Post a Comment

0 Comments