habari Mpya


Serikali yasema-“Kama haujapata kitambulisho cha NIDA tumia namba Uliyopewa”.

Waziri Mkuu wa Tanzania ,Mhe.Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza watumishi wa NIDA pamoja na vifaa ili kuondoa changamoto kwa Watanzania za kupata vitambulisho vya uraia.

Amesema hayo leo Alhamisi January 30, 2020 Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu, Bungeni.

BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA ZAIDI MAJIBU.

Post a Comment

0 Comments