habari Mpya

Kituo cha Afya Muganza Kunufaisha Wananchi Zaidi ya Elfu 30.

Kituo cha Afya Muganza wilayani Chato mkoani Geita kikiwa kimekamilika kwa asilimia 95 ambapo Wananchi zaidi ya 30,000  wataanza  kunufaika na kituo hicho chenye Jumla ya majengo 8 likwemo jengo la wagonjwa wa nje (OPD).

Post a Comment

0 Comments