habari Mpya


Utamaduni Wetu Tanzania na Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Muonekano wa Kikundi cha Sungusungu kutoka Kwimba mkoani Mwanza kikitumbuiza katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza December 9, 2019.
Kikundi cha Sungusungu  kutoka Kwimba mkoani Mwanza kikitumbuiza katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza December 9, 2019.

Post a Comment

0 Comments