habari Mpya


Wakazi Biharamulo Wadai Elimu ya Mpiga Kura Serikali za Mitaa.

Ikiwa Imebakia  Takribani Mwezi Mmoja  Ufanyike  Uchaguzi Wa  Viongozi Wa Serikali Za Mitaa  Baadhi Ya Wakazi Wa Wilaya Ya Biharamulo Mkoani  Kagera Wamedai  Hawajapewa Elimu Yoyote Kuhusu Masuala Ya Uchaguzi  Wa Viongozi Wa Serikali Za Mitaa 2019.

Mwandishi Wetu William Mpanju Kutoka Wilayani Biharamulo  Mkoani  Kagera  Anasimulia hapa chini zaidi.

Post a Comment

0 Comments