habari Mpya


Rais Magufuli Apokea Hati za Utambulisho Toka Kwa Mabalozi Wapya Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Mhe. Riita Swan baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28, 2019.

Post a Comment

0 Comments