habari Mpya


Hawa Hapa Wachezaji 28 wa Taifa Stars dhidi ya Rwanda October 14,2019 –Rwanda.

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) October 14, 2019 pambano ambalo litakuwa kwenye tarehe za kalenda ya FIFA litapigwa nchini Rwanda.

Soma Taarifa Kamili ya TFF.
Hapa ni Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza na Rwanda Mchezo wa kirafiki.

Post a Comment

0 Comments