habari Mpya


Taarifa Kuhusu Tani Mbili za Madini Kukamatwa Kyerwa,Kagera Zikipelekwa Rwanda.

September 11, 2019, Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera imekamata zaidi ya Tani 2 za Madini ya bati yakipelekwa Nchini Rwanda.

 BOFYA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA TAARIFA.

Credit : millardayo

Post a Comment

0 Comments