habari Mpya


‘’Maafisa Elimu Sekondari Kuvuliwa Vyeo Wakishindwa Kuongeza Ufaulu Kidato cha Sita’’.

Picha na Maktaba Yetu.

Katika kuendelea kuboresha sekta ya Elimu nchini Serikali imetoa onyo kwa Maafisa Elimu wa Shule za Sekondari kwa kuwavua Vyeo watakaoshindwa kuweka mikakati bora ya kuongeza ufaulu kwa Wanafunzi wa kidato cha sita kwa mara tatu mfululizo kufuatia kuwepo kwa matokeo mabaya kwa baadhi ya Shule za Sekondari nchini.

Sikiliza hapa Simulizi Mwanahabari wetu TUNU HERMAN Kutoka Jijini Mwanza.


Post a Comment

0 Comments