habari Mpya


Kikosi Cha Usalama Barabarani Kagera Chaombwa Kuchukua Hatua kwa Bodaboda Wanaokiuka Sheria.

Picha na Maktaba Yetu.

Baadhi ya waendesha pikipiki za abiria manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamelitaka jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi yao wanaofanya shughuli hiyo bila kuzingatia sheria za usalama za barabarani na kusababisha ajali.

Kutoka Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera sikiliza Simulizi ya Mwanahabari wetu ANORLD  KAILEMBO.

Post a Comment

0 Comments