habari Mpya


Uteuzi wa JPM Leo June 08,2019 kwa Mhe.Bashungwa na Bw.Edwin Mhede.

Katika taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu,Rais Dkt. John Pombe Magufuli  ametengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara Joseph Kakunda na Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere.


Post a Comment

0 Comments