habari Mpya


Tanzania Kuisoma Bajeti Kuu Leo June 13, 2019.

Leo June 13, 2019 Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk Philip Mpango Atawasilisha na Kuisoma Bajeti  Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma.


Katika Mwaka wa Fedha  Ujao, Serikali inatarajia kukusanya na kutumia Tzs 33.1 Trilioni.

Radio Kwizera Itakuletea Moja Kwa Moja Bunge Hilo la Bajeti Kuanzia Saa 10 Kamili Jioni.

Duru Zetu Alasiri Itakuijia  Saa Tisa na Nusu Alasiri badala ya Saa 10 Jioni.

Usikose Kuungana Nasi Kusikiliza Bajeti  Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma Hapa Hapa Radio Kwizera.

Post a Comment

0 Comments