habari Mpya


Waziri Mkuu Ahimiza Wakazi Kagera na Dodoma Wachangie Damu.

Waziri Mkuu wa Tanzania.

Wakati Waziri Mkuu wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa akiwataka wakazi wa Jiji la Dodoma wajitokeze kwa wingi kuchangia damu ili iweze kutumika kuokoa maisha ya wengine huku pia Serikali ikiendelea na kampeni ya kuhakikisha vituo vya afya na hospitali nchini vinakuwa na akiba ya kutosha ya damu salama  kwa ajili ya wagonjwa wenye kuhitaji damu.

 Hospitali  teule  ya wilaya ya  Biharamulo mkoani Kagera  ina upungufu wa damu kwa sababu kuna matukio mengi yanayosababisha upungufu wa damu,ikiwemo majeruhi  na mama wajawazito.

 Sikiliza Simulizi hapa chini ya Mwanahabari wetu William Mpanju Kutoka Wilayani Biharamulo Mkoani Kagera.
 - MPANJU.

Post a Comment

0 Comments