habari Mpya


Padre. Meela SJ- Awahimiza Wanafunzi Ngara Kusoma wa Bidii.

Afisa Mahusiano wa Radio Kwizera na Kiongozi wa Imani, Padre.Fredrick Meela SJ akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari LUKOLE ya wilayani Ngara mkoani Kagera baada ya misa takatifu ya maombi jana May 03,2019. 

Wanafunzi hao  kwa sasa wanakabiliwa na mtihani  huo wa Kidato cha Sita 2019.
Katika tukio hilo pia Padre. Meela SJ amebariki  Viongozi waliobaki wa TYCS  na ( MAGIS ), Katika ujumbe wake amewasisitizia kusoma kwa bidii  elimu zote ya dini na duniani ili  kuyajua mengi zaidi kwa manufaa yao.
Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari LUKOLE wakifatilia ibada ya maombi kwa ajili ya kufanya mtihani wao vyema.

Post a Comment

0 Comments