habari Mpya


Kazi ya Kuunga Reli ya Kisasa Ikiendelea na Muonekano wa Reli Iliyokwishaungwa.

Muonekano wa uungwaji wa reli ya treni za Umeme, Standard Gauge Railway kuunganishwa kwa vipande vya SGR na kufanya reli hiyo kuwa moja kutoka Morogoro hadi Dar es Salaam.
Mradihuu mkubwa wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR unaendelea ambapo reli hiyo itaanzia bandari ya Dar es Salaam hadi mji mkuu wa Dodoma na baadaye hadi nchi za jirani za Rwanda Burundi na DR Congo.
 

Post a Comment

0 Comments