habari Mpya


Ekari 20 Bangi Zateketezwa Kasulu mkoani Kigoma.


Takribani Ekari 20 za bangi zimegundulika ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Makere Kaskazini Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma zikidaiwa kulimwa na Watanzania kwa kushirikiana na raia wa kigeni wakiwemo wakimbizi.
Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Kanali SIMON ANANGE.

Mashamba hayo yamegunduliwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya kwa kushirikiana na Kikosi cha Ulinzi cha Wakala wa Misitu Wilayani humo TFS baada ya kufanya opareshen ndani ya hifadhi hiyo.

Source-Millardayo

Post a Comment

0 Comments