habari Mpya


Changamoto ya Kuhudhuria Mikutano Ya Kijiji/Mtaa Kahama.

Imeelezwa kuwa ushiriki hafifu wa baadhi ya Wananchi katika mikutano ya kujadili changamoto zilizopo hasa ulinzi shirikishi umekuwa kikwazo cha kuwezesha kuimarika kwa ulinzi katika baadhi ya mitaa wilayani Kahama mkoani Shinyanga. 

ISIKILIZE HAPA MWANAHABARI WETU ERICK EZEKIEL ANAYO TAARIFA KWA UNDANI.

Post a Comment

0 Comments