habari Mpya


Wakazi wa Runzenze,Ngara Waingiwa na Hofu ya Bomu.

Kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono, lililokutwa  katika shamba la mkazi mmoja wa kijiji cha Runzenze Kata ya Ntobeye wilayani Ngara mkoani Kagera,kimezua taharuki kwa Wakazi wa kijiji hicho baada ya kuamua kulala shambani kuepusha watu kulitegua au mifugo kupita eneo hilo na kulikanyaga kitendo kinachoweza kupelekea mlipuko na madhara makubwa.

SIKILIZA HAPA USHUHUDA WANANCHI WAKIZUNGUMZA.

Post a Comment

0 Comments