habari Mpya


Ukusanyaji wa Mapato, Madiwani Ushetu Wafunguka.

Baaadhi ya madiwani wa halmashauri ya  Ushetu wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamelalamikia wakala wa  usimamizi wa Mistu TFS wilayani Kahama Kwa kuchangia kushuka kwa mapato katika sekta ya Mali asili  kutoka shilingi milioni  257ambayo yalikuwa ni Makadirio na kufikia shilingi Milioni 64.7.

SIKILIZA HAPA SIMULIZI YA MWANAHABARI WETU SIMON DIONIZ.

Hata hivyo Mwanahabari wetu SAMUEL LUCAS amemtafuta Meneja wa  Usimamizi wa Mistu TFS wilayani Kahama  Bw BRUNO BAHANE ilikujua kwa namna ipi wamechangia kushusha Mapato ya Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama.

SIKILIZA HAPA MAHOJIANO  YAKE NA SAMUEL LUCAS.

Post a Comment

0 Comments