habari Mpya


Salam za Bi.Honoratha Chitanda –Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mstaafu.

Maporomoko ya Rusumo,wilayani Ngara ,Kagera.
Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Bi HONORATHA CHITANDA ameipongeza Radio kwizera kwa kuibua changamoto ndani ya jamii pamoja na kuishukuru taasisi ya Tumaini Fund ya wilayani Ngara kwa kuendelea Kuhudumia jamii baada ya kitekeleza ahadi ya kujenga  matundu ya vyoo katika Shule ya Sekondari Kabanga. 

Pongezi hizo amezitoa wakati akizungumza na Mwanahabari wetu SHAABAN NDYAMUKAMA na kusema kwamba  miundombinu bora katika utoaji huduma za kijamii inaharakisha kuwepo Maendeleo kuanzia ngazi ya familia.


MSIKILIZE HAPA CHINI.
 

Post a Comment

0 Comments