habari Mpya


Msimamo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 2018/2019.

Azam FC wamejikuta wakikubali kipigo cha magoli 3-1 kutoka Simba SC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara February 22,2019 uwanja wa Taifa Dar es Salaam huku Azam FC wakipata goli moja la kufutia machozi lililofungwa na Frank Domayo dakika ya 81,wakati ya  Simba SC  yakifungwa na Meddie Kagere aliyefunga magoli mawili dakika ya 4 na 77 na baadae John Bocco akifunga goli la pili dakika ya 38.

Azam FC anaedelea kuwa nafasi ya pili nyuma ya Yanga SC kwa kuwa na point 50 akicheza michezo 24 wakati Simba SC akiwa nafasi ya tatu kwa kuwa na point 45 wakicheza michezo 18 wakiwa na viporo vya michezo 7.

MSIMAMO.

Post a Comment

0 Comments