habari Mpya


Ligi kuu Tanzania bara kuendelea tena leo kwa kupigwa mechi kadhaa ratiba hii hapa

MOTO hauzimwi Ligi Kuu Bara,leo mechi nane zitachezwa ikiwa ni mzunguko wa 28 kwenye viwanja vinne tofauti kama ifuatavyo:-

Mwadui FC dhidi ya Biashara United, uwanja wa Mwadui Complex saa 8:00 mchana.

African Lyon dhidi ya Simba, uwanja wa Amri Abeid saa 10:00 jioni.

Coastal Union dhidi ya Azam FC, uwanja wa Mkwakwani saa 10:00 jioni.

Ruvu Shooting dhidi ya Kagera Sugar, uwanja wa Mabatini saa 10:00 jioni.

Post a Comment

0 Comments