habari Mpya


Wananchi Kijiji cha Kazingati Waiomba Serikali kumruhusu Mwekezaji wa Kikorea ili Kuchochea Maendeleo na Uchumi.

Ramani ya Eneo la Uwekezaji kijiji cha Kazingati,Ngara mkoni Kagera.
Wananchi wa Kijiji cha Kazingati kata ya Keza  Wilaya ya Ngara  mkoani Kagera wameiomba Serikali kumruhusu Mwekezaji toka  Korea Kusini baada ya kuonesha nia ya kuanzisha miradi ya kiuchumi kijijini humo.


Kutoka Wilayani Ngara Mkoani Kagera Sikiliza simulizi ya Mwanahabari Shaban Ndyamukama hapa chini kwa ku play.

Post a Comment

0 Comments