habari Mpya


Wakandarasi Kikwazo Utekelezaji Miradi ya Maji Kagera Wajiandae Kurudisha Fedha- Naibu Waziri JUMA AWESO.

Mtambo wa kutibu na kusafisha maji Picha na Maktaba yetu.

Na Anord Kailembo -RK Bukoba 97.7

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Bw.JUMAA AWESO amesema kuwa wasimamizi na wakandarasi waliopewa tenda za ujenzi wa miradi ya maji mkoani Kagera,watakaobainika kuhujumu fedha za serikali wajiandae kuzirudisha fedha hizo.


Amesema hayo akizungumza na viongozi wa mkoa muda mfupi baada ya kuwasili mkoani Kagera, amemuagiza mwandisi wa maji wa mkoa kuhakikisha wakandarasi wanaojenga miradi ya maji wanaikamilisha kwa wakati.

MSIKILIZE HAPA CHINI-BOFYA PLAY

Post a Comment

0 Comments