habari Mpya


Wafanyabiashara Wadogo Ngara Wasuasua Kuchukua Vitambulisho.

DC Mtenjele.
Wakati Wakuu wa Mikoa Nchini wakikabidhiwa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo hivi karibuni ikiwa ni awamu ya pili na Mkoa wa Kagera ukipewa Vitambulisho 35,000,katika wilaya ya Ngara bado zoezi hilo linaendelea kwa kusuasua kutokana na mwamko mdogo kutoka kwa walengwa. 


Hapa chini ni Mahojiano ya Mwandishi wetu SAMUEL LUCAS na Mkuu wa wilaya ya Ngara Luteni Kanali MICHAEL MTENJELE kuhusu namna zoezi la utoaji wa vitambulisho hivyo kwa Wilaya ya Ngara limefikia wapi mpaka sasa.

Post a Comment

0 Comments