habari Mpya


TEHAMA:Kuinua Vipaji vya Wanafunzi Ngara.

Wanafunzi wa sekondari ya Mpunyule iliyopo wilayani Kilwa wakijifunza somo la TEHAMA.

Ufundishaji wa Somo la Sayansi, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) umetajwa kuinua vipaji vya wanafunzi ambao wanajiendeleza kitaaluma wakipata  ujuzi na maarifa kwakulenga  kujitegemea kimaisha

Msikilize hapa chini Mwanahabari wetu SHAABAN NDYAMUKAMA kutoka  wilayani  Ngara mkoani Kagera.

Post a Comment

0 Comments