habari Mpya


Stori 4 Yaliyojiri -Mradi wa Maji Katoke,Kibondo,Kahawa Kagera na Ujenzi wa Soko Biharamulo.

Naibu Waziri wa Maji Bw. JUMA AWESO ameagiza Meneja wa mamlaka ya maji safi na mazingira Bukoba (BUWASA)Bw. ALEN MARWA kuusimamia na kukarabati baadhi ya mapungufu yaliyopo kwenye mradi wa Maji wa katoke uliopo wilayani Muleba Mkoani Kagera  baada ya halimashauri ya wilaya hiyo kushindwa kuusimamia.


Kutoka Wilayani Muleba Mkoani Kagera Mwanahabari wetu Shafiru Yusufu anataariafa zaidi.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.
Serikali nchini kupitia wizara kilimo imesema kuwa msimu ujao wa zao la kahawa itahakikisha mkulima analipwa fedha yake siku kahawa inaponunuliwa kwenye mnada na si vinginevyo.
Kutoka Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera Mwanahabari wetu ANORLD KAILEMBO anataarifa zaidi.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.


Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera  imeanza kuwajengea banda la kuuzia samaki wanawake  wajariamali wadogo ili kuepukana na changamoto ya kuuzia nje bidhaa hiyo hasa katika  msimu wa mvua zinazoendelea kunyesha.
Kutoka Wilayani Biharamulo Mkoani Kagera Mwanahabari wetu WILLIAM MPANJU anataarifa zaidi.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.
Wananchi wa Kata za  Itaba, Kizazi na Bitare  wilayani kibondo mkoani Kigoma wanatarajia kunufaika na upatikanaji wa maji mwishoni mwa mwezi wa pili  baada ya kukamirika kwa miradi inayo endelea kutekelezwa katika maeneo yao.
Mwanahabari wetu FARAJA MARKO anataarifa zaidi kutoka Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.

Post a Comment

0 Comments