habari Mpya


Mzee wa Umri wa Miaka 80 Auawa kwa Kuchinjwa Shingo na Watu Wasiojulikana -Bukoba.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, KANGI LUGOLA (kushoto) akitoka Kituo Kikuu cha Polisi cha mjini Bukoba mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Kituo hicho, kwa kufuatilia utendaji kazi wao. 

 Katikati ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, REVOCATUS MALIMI, na kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza Mkoani humo, ACP RAYMOND MWAMPASHE

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mzee mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa kijiji cha  Ihunga kata ya Kishanda wilayani Muleba ameuawa kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana ambao wameondoka na sehemu zake za siri.

BOFYA PLAY HAPA CHINI -Mwanahabari wetu ANORLD KAILEMBO anasimulizi zaidi kutoka Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.

Post a Comment

0 Comments