habari Mpya


Msako kwa Wazazi Msiowapeleka Watoto Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waja Ngara,Kagera.

Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Luteni Kanali Michael Mtenjele amesema kuanzia Jumatatu ya Januari 21,2019 anaanza msako kwa wazazi ambao hawatawapeleka watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Mtenjele ametoa kauli hiyo wakati akizindua miradi miwili iliyojengwa chini ya ufadhili wa Shirika la Tumaini Fund kwa thamani ya shilingi milioni 123 katika shule ya sekondari Kabanda na shule ya msingi Kihinga.

WAWEZA KUMSIKILIZA HAPA CHINI KWA KUBOFYA PLAY.

Post a Comment

0 Comments