habari Mpya


Geita Wapitisha Bilioni 49 Bajeti Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Halmashauri ya Mji wa Geita kupitia kikao cha baraza la Madiwani hii leo January 21,2019 kimepitisha na kutenga   Bajeti ya kiasi cha Shilingi Bilioni 49.312 kwa mwaka wa fedha 20019/2020 na kugusa  vipaumbele kumi na vinne vya halmashauri hiyo.
Msikilize hapa chini Kutoka Mkoani Geita Mwanahabari wetu GIBSON MIKA anataarifa zaidi.

Post a Comment

0 Comments