habari Mpya


Biharamulo,Muleba na Ngara Zatesa Bonanza la jambo Bukoba -Kagera 2019.

Timu ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mugamo iliyoiwakilisha wilayani Ngara katika picha yao ya pamoja baada ya kuibuka washindi wa 3 Kimkoa katika Bonanza la Michezo ya Jambo Bukoba 2019 huku Halmashauri ya wilaya ya Bihalamuro ikibuka mshindi wa kwanza,Muleba mshindi wa pili,Misenyi na Karagwe washindi wa nne,Bukoba Manispaa washindi wa 6,Bukoba Vijijini washindi wa 7 na wa mwisho ni Kyerwa katika mashindano ya kimkoa ya Jambo Bukoba yaliyokuwa yakishirikisha halmashauri zote za mkoa wa Kagera huku redio kwizera ikipatiwa zawadi kwa kuwa kituo cha habari kinachotoa mchango mkubwa katika kutangaza na kuhamasisha michezo.WAWEZA SIKILIZA HAPA TAARIFA YA BONANZA HILO LA JAMBO BUKOBA.

Post a Comment

0 Comments