habari Mpya


Kagera Yapokea Vitambulisho 35,000 Vya Awamu ya Pili kwa Wafanyabiashara Wadogo

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi JOHN KIJAZI amekabidhi vitambulisho milioni moja na laki moja vya awamu ya pili kwa ajili ya Wafanyabiashara wadogo ambavyo viliasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Balozi KIJAZI amekabidhi vitambulisho hivyo January 28, 2019 kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini Ikulu Jijini Dar Es Salaam na kuwataka Wakuu wote wa Mikoa kuhakikisha vitambulisho hivyo vinatolewa kwa WAHUSIKA na kwa wakati kwa WAHUSIKA na kuongeza kuwa tayari kuna taarifa za baadhi ya WATUMISHI WA HALMASHAURI ambao wanaviuza vitambulisho hivyo kwa zaidi ya bei elekezi iliyotolea na Rais MAGUFULI.

Post a Comment

0 Comments