habari Mpya


Mtoto TUOMBE JOHN Anahitaji Msaada wa Matibabu ya Jeraha la Moto Mguuni.

TUOMBE JOHN (pichani kulia) ni Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13, anaishi na wazazi wake katika kitongoji cha Mchuya kijiji cha Murukukumbo wilayani Ngara mkoani Kagera akizungumza na Mwandishi wa Habari wa Radio Kwizera Sr OLIVA NIYONZIMA anasema –‘’ karibu mwaka sasa, anatembea kwa kutumia makalio yake, hii ni baada ya kupata ajali ya moto iliyosababisha kuungua mguu wake wa kushoto ,hivyo kwa ugumu wa maisha ya familia yake, yalisababisha kukosa matibabu kwa muda mrefu, tayari mguu wake umeshikana na hivyo hawezi kuunyoosha.

Anahitaji Msaada wa Matibabu –Wasiliana na Sr OLIVA NIYONZIMA –Simu +255766 38 17 05

Post a Comment

0 Comments