habari Mpya


Wafikishwa Polisi Ngara,Kisa Dini inawakataza Wazazi Kupeleka Watoto Shule na Kutibiwa Hospitalini.

Kikundi cha Wananchi Kata ya Kasulo katika Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera wamefikishwa Polisi kwa kitendo cha kutowapeleka Watoto wao Shule wakidai imani ya Dini yao inawakataza kufanya hivyo.


Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ngoma,Kijiji cha Kasulo, Bw. Ramadhan Simon Ruzuba amesema kuna Watu watano tumewakamata sababu wamekataa kuwasajili Watoto Shule wakidai imani yao ya Dina haitaki.

BOFYA HAPA CHINI KUMSIKILIZA MWENYEKITI


Source - AyoTV

Post a Comment

0 Comments