habari Mpya


Ujio wa Kocha Emmanuel Amunike Kagera.

Na Anord Kailembo –RK Bukoba 97.7

Jumla ya watoto wachezaji 14 wa mpira wa miguu wenye umri wa chini ya ma miaka 17 mkoani Kagera wamechaguliwa na chama cha mpira wa miguu nchini TFF kujiunga na timu ya Kanda.
Hapa Chini Bofya Play Kuisikiliza taarifa Kamili ya Anord Kailembo kutoka Bukoba 97.7 Kuhusu Ujio wa Kocha Amunike .

Post a Comment

0 Comments