habari Mpya


Timu Zilizofuzu 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya 2018/2019.

Sare ya kufungana goli 1-1, kwa FC Barcelona goli likifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 7 huku Tottenham wakisawazisha dakika ya 85 kupitia kwa Lucas Moura.

 FC Barcelona na Tottenham zote zimefanikiwa kuingia 16 bora,katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2018/2019 huku timu nyingine ambazo zimefuzu kucheza hatua hiyo ya 16 bora ni Dortmund, Atletico Madrid, PSG, Liverpool, Schalke 04 na FC Porto wakati timu za Juventus, Real Madrid, Roma, Man United, FC Bayern Munich, Ajax, Man City na Olympique Lyon zimefuzu hatua ya 16 bora ila zitacheza mechi za kumilisha ratiba tu leo Jumatano December 12,2018.

Matokeo ya Mechi za Jana December 11,2018.

Post a Comment

0 Comments