habari Mpya


Timu 32 Zilizofuvu Raundi ya Nne Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Simba SC December 26, 2018 wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports katika mchezo wake wa kwanza kwa mwaka wa pili mfululizo na timu ya Mashujaa FC kutoka Kigoma katika Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.

Simba SC wanapigwa na Mashujaa mabao 3-2 kwa mabao ya Mashujaa FC yalifungwa na Hamis dakika ya 47 kipindi cha kwanza, Jeremiah dakika ya 57 na Rajabu Athuman dakika ya 90 kipindi cha pili.

 Kwa upande wa Simba SC mabao yamefungwa na  Paul Bukaba dakika ya 19 na 78.

Post a Comment

0 Comments